Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo raha sana
Yani leo ni kucheka tu, ukinuna unaaimbishwa "This is Liverpool" kwa lazima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
 
Mimi sina timu ila huwa nina tabia ya kushabikia timu zinazofungwa na huwa sipendi kabisa timu zinazoziona zenyewe ndiyo Alpha na Omega. Hata maishani hivyo hivyo. Huwa sipendi kabisa akina Kiduku Lilo wanaojivunia iPhones zao na ma Range Rovers. Ndo maana Livapuu mwaka huu ni adui zangu wakubwa hasa kutokana na mashabiki wake waliojaa dharau na kujiona. Halafu wanafuatia Man City japo nao mwaka huu wanasuasua. [emoji16][emoji16]
Hahaha
Wacha tujimwambafai jamani liver yetu.
Tulisota Sana huko nyuma[emoji23].
Hivi Yule jamaa huwa Yuko siriazi?
Mi huwa namuona kama commedian tu
 
Ni kutokana na kwamba kufanyika kwa shimo kwenye jino huwa haina maumivu kwenye kipindi cha awali inakuwa vigumu kujua kama tatizo lipo, ndio maana tunashauri kuonana na Daktari wa meno kila baada ya miezi mtatu akufanyie vipimo.
 
Simba Sports Club lete raha
FB_IMG_1574523065073.jpeg
 
Back
Top Bottom