Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbuka! Unapoendesha gari kwa mwendo wa wastani ni rahisi kujihami mara kunapotokea tatizo barabarani.

Juzi tu. Nilipigwa ubavuni. Jamaa alikuwa moto balaa. Bahati nzuri alikuwa anaendesha kagari kadogo na mimi langu lilikuwa kubwa. Na malaika wa Mungu walikuwa wamenizunguka. Hata mchubuko sikupata japo gari langu liliharibika kiasi ubavuni lilikobamizwa; na airbags za pembeni zikawa deployed. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Yeye [emoji116][emoji116][emoji116]. Mwendo wa kasi ni hatari kwa sababu huwezi kusimama kwa wakati inapobidi...
 
Duh pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…