Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Uji unataka baridi
Baridi inataka uji
Baridi inataka uji
Offer offer...si ya kukosaView attachment 1271040
Hata mtu naye anachangia
jana usiku nilikuwa nafuatilia comment zao kimya kimya ilikuwa ni mwendo wa kucheka peke yangu kama mwendawazimu.Afadhali na nyie mgombane tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani mchezo mzuri uko wapi Simba?Kama ni hivyo sikuwezi, wenzako wanafuata mchezo kumbe wewe unamfuata furani na kwa sababu furani[emoji23][emoji23]
jana usiku nilikuwa nafuatilia comment zao kimya kimya ilikuwa ni mwendo wa kucheka peke yangu kama mwendawazimu.
moudgulf alikutana na balaa la mnyakyusa mpaka alikimbia uwanja kwa kichambo.
unaifananisha liverpool na simbaaaaaaa
Wilder is legit. Not like the other pretender named Anthony Joshua. Capitalpool unasemaje? Tulishawahi kubishana kuhusu hili [emoji16]
View attachment 1270936
Kwani mchezo mzuri uko wapi Simba?
Huyu brother hawezi kuwa siriazi.jana usiku nilikuwa nafuatilia comment zao kimya kimya ilikuwa ni mwendo wa kucheka peke yangu kama mwendawazimu.
moudgulf alikutana na balaa la mnyakyusa mpaka alikimbia uwanja kwa kichambo.
unaifananisha liverpool na simbaaaaaaa
Acha kulinganisha mechi za mpira na michezo ya midundiko[emoji23][emoji23]Mambo mengi huanzia nyumbani, popote pale iko hivyo
huyo mzee anatia aibu.Huyu brother hawezi kuwa siriazi.
Labda kama analinganisha rangi za jezi maana liver mara nyingi tunavaa nyekundu.
Asitake kuchanganya liver na vitu vya ajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eeeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo mzee anatia aibu.
anakufanya uwe uncomfortable mbele ya hadhira.
unapendaje timu iliofungwa tanoooooo.
simbaaaaaaa
kwani huwezi kumfukuza liverpool.Umeona eeeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitimu Cha ajabu kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani huwezi kumfukuza liverpool.
inakuwaje analeta mambo ya kishambaaaa haliyakuwa anashabikia timu kutoka londoniiiii
simbaaaaa