Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kazi kwako.
ubavu wa kukutetea sina ila nguvu ya kuchochea kuni ninayo
babu SHIMBA YA BUYENZE ubavu hana, anamuogopa mjukuu wake utadhani aliona nyeti zake
Numbisa ubavu hana
Davet amekimbia baada ya kupokea kipigo
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kwani SYB Ni mtata Sana!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nitake radhi[emoji23]
Mohammad salah anaingia juzi liva anapenga tukamasi tunamuona.
Mimi ni mhenga tangu enzi za kina Gerald
halafu afahamu binadamu hatufanani kiumri.
tunaweza kutofautiana kiumri lakini tukafanana kwenye machaguo yetu.
yeye amependa liverpool tokea 1980
tuseme wewe umeipenda liverpool jana lakini haiondoi uhalisia ya kwamba simbaaaaaaa ni timu ya ovyoooo
 
Ushaanza kulinganisha timu za ulaya na hizi za wacheza rede uwanjani[emoji1787]
kule pemba kuna ngoma inaitwa msewe, na ndio mchezo unaochezwa na simbaaaaa ya matopeniii
1574595824364.png
 
halafu afahamu binadamu hatufanani kiumri.
tunaweza kutofautiana kiumri lakini tukafanana kwenye machaguo yetu.
yeye amependa liverpool tokea 1980
tuseme wewe umeipenda liverpool jana lakini haiondoi uhalisia ya kwamba simbaaaaaaa ni timu ya ovyoooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbavu zangu Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
halafu afahamu binadamu hatufanani kiumri.
tunaweza kutofautiana kiumri lakini tukafanana kwenye machaguo yetu.
yeye amependa liverpool tokea 1980
tuseme wewe umeipenda liverpool jana lakini haiondoi uhalisia ya kwamba simbaaaaaaa ni timu ya ovyoooo
Haibadili kweli ya kwamba Simba Ni wacheza midundiko hovyo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom