D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
mswahili habadiliki ndio maana nikashauri umuondoe kwenye list ya mashabiki wa liverpool.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikimfukuza liva nitakuwa nimemuonea ila nitamsaidia aache kushangilia timu za kishamba Kama Simba.
huwezi kuwa mshabiki wa liverpool na muda huo huo ukawa na sifa za kunguni.
jogoo awe juu milele.
ushindi bila ya salah una raha yake.
simbaaaaa asiye na nguvu za kiume ameshikwaaa