moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Embu acha kuchanganya ushabiki wa livapuu na timu za ajabu za tz[emoji23][emoji23]Nakufurahisha na Liverpool's kisha nakuchoma na Simba.
Pole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wivu wake tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool hatuna dharau kamanda.
Kushangilia ushindi siyo dharau[emoji23]
Mwaka huu usiponenepa basi tena. Huku "You will never walk alone". Huko "This is Simba brother". Dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Unaumia...[emoji23][emoji23]Embu acha kuchanganya ushabiki wa livapuu na timu za ajabu za tz[emoji23][emoji23]
Afadhali na nyie mgombane tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]Unaumia...[emoji23][emoji23]View attachment 1270691
Leo ushindi wenu Ni sawa na Mimi nigombane na John Cena halafu ajitape amenipigaUnaumia...[emoji23][emoji23]View attachment 1270691
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali na nyie mgombane tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu Mnyakyusa aisee hata ankoo wako anasubiri sana. Nilikuwa sijui kama hawa watu wanaongea hivi. Hata Wazaramo wanakalishwa. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Niumie kwa sababu ya Simba wapiga Domo kama waimba taarabu hasa yule mzungu kichaa wenu
Kitimu kilisajili wachezaji wapya kikaanza na kupigwa dadeq[emoji2][emoji2]Leo ushindi wenu Ni sawa na Mimi nigombane na John Cena halafu ajitape amenipiga
Simba hamnazo Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](joking)

Afadhali na nyie mgombane tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]