Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool hatuna dharau kamanda.
Kushangilia ushindi siyo dharau[emoji23]
Mimi sina timu ila huwa nina tabia ya kushabikia timu zinazofungwa na huwa sipendi kabisa timu zinazoziona zenyewe ndiyo Alpha na Omega. Hata maishani hivyo hivyo. Huwa sipendi kabisa akina Kiduku Lilo wanaojivunia iPhones zao na ma Range Rovers. Ndo maana Livapuu mwaka huu ni adui zangu wakubwa hasa kutokana na mashabiki wake waliojaa dharau na kujiona. Halafu wanafuatia Man City japo nao mwaka huu wanasuasua. [emoji16][emoji16]
 
FB_IMG_1574540398991.jpeg
 
Back
Top Bottom