Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

434340884_161065.jpeg
 
Ndioo The don, maana kitakachokukuta baada ya kudonate hio figo[emoji23][emoji23][emoji23] utasimulia ukoo!

Binadamu sisi wa ajabu sana
Kama yule mama aliyetoa figo yake kuokoa maisha ya bosi wake. Bosi alipopona akaja akamfukuza kazi....

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Baharia unampa figo halafu huyooo michepuko na yeye, yeye na michepuko...
 
Back
Top Bottom