Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Man u washinde!??
Hawa man u hata wakicheza na Simba wanafungwa.
Kiujumla man u sio timu kabisa
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Man u washinde!??
Hawa man u hata wakicheza na Simba wanafungwa.
Kiujumla man u sio timu kabisa
Crystal Palace inakaribia kukamilisha ununuzi wa klabu hiyo wa dau la £215m . (Sun on Sunday)
Hata mie sijaelewaSijaelewa hii
Kabisa yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1271247
Sasa kwani man u Ni timu?Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee hali si haliKwenye baadhi ya nchi mf. Marekani suicide has reached crisis levels. Hawa maandaeitini hawa akitukanwa tu huko Instagram au akiweka kapicha kake halafu kapate likes 4 huyoo anakimbilia kujiua...
[emoji3][emoji3][emoji3] labda wa kufojiUtashangaa mabaharia watazuka nao wote ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujinga huu