Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Waleteni warembo wenu kwangu wapendeze[emoji7][emoji7].
Na bae wake Depal wamepotea. Labda wanakula fungate Dubai.
The Happiness kang'ang'ania nywila
Na bae wake Depal wamepotea. Labda wanakula fungate Dubai.
Al hilal[emoji1751][emoji134]View attachment 1271278
nipo bro, kwema?
maisha aliyachezea huyo mtu mweusiMario Balotelli analengwa na klabu ya Galatasaray. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 alijiunga na klabu yake ya nyumbani ya Brescia msimu uliopita. (Calciomercato - in Italian)