Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
ng'ombe wa zanziberi
real madrid wameanza kuimarika kiuchezajiLakini, ni jambo la wazi Zinedine Zidane hayupo vizuri tangu aliporudi Machi mwaka huu.Mabosi wa timu hiyo wanaweza kubadili mawazo muda wowote baada ya kuona kwamba Pochettino kupatikana tena bila ya kulipa fidia yoyote.
unamuogopa madame Saint anneMimi umenionea, sijawahi kushabikia mpira hata sijui mule uwanjani huwa wanaingia kucheza watu wangapi
wanajua kuogeleang'ombe wa zanziberi
Kweli kabisa.Mimi umenionea, sijawahi kushabikia mpira hata sijui mule uwanjani huwa wanaingia kucheza watu wangapi
wanajua kuogelea
wanajua kuishi na wageni
usiwafananishe ng'ombe wa zenji na huko kwenu ushambani.
utamkuta mtu ana ng'ombe 100 lakini anavaa kitenge kama mwanamme aliyetahiriwa
niruhusu nifukue kaburi lake tafadhaliKweli kabisa.
Wewe huku kwenye mpira tunakuonea tu