Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mimi umenioneaniruhusu nifukue kaburi lake tafadhali
wewe leo nakuhifadhi kama embe pevu ili upate kuiva.Mimi umenionea
numbisa ameonekana anatoka kwa mganga muda mchache uliopitaaaaManchester mmejua kunichekesha Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha mbona kama unamsema SHIMBA YA BUYENZEwanajua kuogelea
wanajua kuishi na wageni
usiwafananishe ng'ombe wa zenji na huko kwenu ushambani.
utamkuta mtu ana ng'ombe 100 lakini anavaa kitenge kama mwanamme aliyetahiriwa
babu shimba ameshalala muda huu kwenye kibanda chake cha nyasiha ha mbona kama unamsema SHIMBA YA BUYENZE
Fukua tuoneniruhusu nifukue kaburi lake tafadhali
nasubiri na ruhusa yakeFukua tuone
sio kua analala kwenye banda la ng'ombe analindababu shimba ameshalala muda huu kwenye kibanda chake cha nyasi
Amekuruhusuniruhusu nifukue kaburi lake tafadhali
wewe unaamini ya kwamba babu shimba ni mlala hoi?sio kua analala kwenye banda la ng'ombe analinda