Kwahiyo Serikali italipia deni la nyumba, Askari ukiwa umelala lala salama, hata ukiwa na Mkeo lala salama, na huu Mkataba wa kwamba Askari walipie nyumba ulisainiwa nafikiri 2012 au 2013, nadhani ulikosewa nashangaa walisaini vipi waliopita, lakini ni Serikali” - JPM
_