D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
amekuja mara moja baadae akaondoka.kuna mtu haonekani humu maana saa hiz tayari zingekuwepo pole za kutosha
mkuu kwani huna taarifa kama yule jamaa ameongeza mke wa nne ndio maana yupo bizeeee.
pole mke wangu wa kwanza
pole mke wangu wa pili
pole mke wangu wa tatu
kula raha mke wangu wa nneeee