capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
United ipo tu haitakufa, tunahitaji utulivu.Dada yangu The Happiness kweli unanicheka ktk hili?😞😞
Bro, huku kwema.Naona jana mlipandishwa pressure kama yote😀😀😀
Mambo vipi Bro?
United ipo tu haitakufa, tunahitaji utulivu.Dada yangu The Happiness kweli unanicheka ktk hili?😞😞
Bro, huku kwema.Naona jana mlipandishwa pressure kama yote😀😀😀
hahahahahaha, nakuelewa bro.United ipo tu haitakufa, tunahitaji utulivu.
Mambo vipi Bro?
Ahsante sana, kwako pia.hahahahahaha, nakuelewa bro.
Shwari kabisa, tunaianza wiki mpya.A good day to you!
Ahsante bro.Ahsante sana, kwako pia.
Nimeona huko juu unamcheka shemeji yako juu ya kichapo😂😂....nikaona nimlipizie kukucheka😂😂😂😂Dada yangu The Happiness kweli unanicheka ktk hili?😞😞
Bro, huku kwema.Naona jana mlipandishwa pressure kama yote😀😀😀
Watu kama ninyi nawapenda sana[emoji28][emoji28][emoji28] Yani najikutaga nimeachwa jikoni
Ni aibu waziri msomi kama yeye anaongea wazi vitu vya namna ile; hata balozi wa Canada anatushangaa.
Viongozi wazuri wanapimwa kwenye misuko misuko!!
kinachowatofautisha ni meno baada ya kupewa kisago na yule binti mpana kama dada yake mzee yussufImebidi nirudi kuangalia picha moyo umepiga nikajua wachomoa betri washafanya yao. Tunafanana macho.
Mpendwa una maanisha mimi nina mapengo😁😁😁kinachowatofautisha ni meno baada ya kupewa kisago na yule binti mpana kama dada yake mzee yussuf
si ulisema unaumwa na meno kipindi kileeeee.Mpendwa una maanisha mimi nina mapengo😁😁😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue we mtu wa joseon sio mzimasi ulisema unaumwa na meno kipindi kileeeee.
baadae ukaleta stori za kupigana na bibi panaaaaa.
nikaunganisha dots ndipo nikagundua mpendwa wangu wa zamani ameng'olewa menooooo.
Hawachi ndiye mkorofi.Ujue we mtu wa joseon sio mzima