myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Habari za siku nyingi
huyo jamaa kwani hajamsikia mtakatifu raisi.
Habari za siku nyingi
si ulisema unaumwa na meno kipindi kileeeee.
baadae ukaleta stori za kupigana na bibi panaaaaa.
nikaunganisha dots ndipo nikagundua mpendwa wangu wa zamani ameng'olewa menooooo.
Salam kwenu woote
Mungu awape amani
mpendwa ameanzisha vita jana usiku cha ajabu muda huu amekimbia kwa kisingizio ana jukumu la kumpikia baba kijacho sembeee na bamia.[emoji23][emoji23]