Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baharia katoa jibu lenye uchambuzi wa kisayansi na data kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20191126-WA0010.jpeg
 
Mashindano ya taifa ya mwanaume mwenye sura mbaya.
1997 Dsm.
Kutoka kulia ni mshindi namba 3 Mzee Jangala.
Katikati ni mshindi namba 2,
Dr Remy Ongala.
Kushoto ni Mshindi mwenyewe,
Masoud au BAYABO kama alivyojulikana kwenye viunga vya Ilala.

Mshindi alinyakua kitita cha sh 1,000,000/pesa taslimu, pamoja na ofa kuhudhuria show zote za bendi ya Supa Matimila mwaka mzima
FB_IMG_1574781426319.jpeg
 
Nina mashaka hata Laila anatumika bila kujua, nadhani muda utaamua.
Mkikuyu kuachia dola kwa Mjaluo sijui,
Nasikia Uhuru amemzunguka makamu wake na kuunganisha nguvu na Railla ili kuhakikisha kuwa Rutto haupati urais japo ndiyo yalikuwa makubaliano yao...

Ni yale yale ya JK na Lowassa kuachiana...
 
Back
Top Bottom