Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Demokrasia tamu mdomoni tu. Utekelezaji wake mgumu sana. Hata kwenye familia zetu [emoji16]
Nasikia Uhuru amemzunguka makamu wake na kuunganisha nguvu na Railla ili kuhakikisha kuwa Rutto haupati urais japo ndiyo yalikuwa makubaliano yao...Siasa za kweli zinazopatikana Afrika mashariki zipo kwenye nchi hiyoView attachment 1273448
Uishe ili iweje kamanda?Huu uzi hauishi tu!
Uishe ili iweje kamanda?
Nasikia Uhuru amemzunguka makamu wake na kuunganisha nguvu na Railla ili kuhakikisha kuwa Rutto haupati urais japo ndiyo yalikuwa makubaliano yao...
Ni yale yale ya JK na Lowassa kuachiana...
Huu uzi hauishi tu!
Mpaka sasa haijapatikana sababu ya kuumaliza uzi huu.
Kusoma saa[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23] sina mambo mengi mimi [emoji2210]
[emoji16][emoji16][emoji16]
Siasa zao za ukabila na inasemekana bila kuungwa mkono na Wakikuyu haiwezekani kuitawala Kenya. Wakikuyu wamekamata kila kitu nchini humoNina mashaka hata Laila anatumika bila kujua, nadhani muda utaamua.
Mkikuyu kuachia dola kwa Mjaluo sijui,