Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Nitakutafutia link nikupeYup Yup
Nitakutafutia link nikupeYup Yup
Hata wewe mwenyewe ni fake?Kila kitu ni fake siku hizi
Baada ya ile ajali aisee nimeona ninyooshe njia zangu. Nilikuwa na Usukuma na utoto toto mwingi sana. Time to be serious [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeacha mwenyewe au umepigwa biti?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
Ona eti ninavyojibiwa hivyo jamani [emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
Aisee ni jambo jema sana umeamua kufanya, Mungu akutie nguvuBaada ya ile ajali aisee nimeona ninyooshe njia zangu. Nilikuwa na Usukuma na utoto toto mwingi sana. Time to be serious [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ila nini? Kuna mtu atadhani unamsema yeye?Daah hii natamani niichukue nikaipost kwa status ila sasaaaaa[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Unaogopa uncle ataview[emoji23][emoji23][emoji23]Daah hii natamani niichukue nikaipost kwa status ila sasaaaaa[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
New wallpaper detected [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]King himuselufu...
View attachment 1273731
Ni mapambano haya ila nimeshashinda tayari. Endelea tu kuniombea kila mara unapojongea mbele ya kiti chake cha enzi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Aisee ni jambo jema sana umeamua kufanya, Mungu akutie nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]New wallpaper detected [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nawapenda hawa viumbe wachanga ila asilie tu ile serious
Eti ili asilie tu siriazi....New wallpaper detected [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nawapenda hawa viumbe wachanga ila asilie tu ile serious
Amen[emoji120][emoji120]Ni mapambano haya ila nimeshashinda tayari. Endelea tu kuniombea kila mara unapojongea mbele ya kiti chake cha enzi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwema huko kwako? Leo unabishana wapi nikashabikie?
Mimi pia imebidi nicheke, mtoto asilie siriaz inawezekana kweli?Eti ili asilie tu siriazi....
Hata akilia unakesha naye tu...
Kwema ndugu yangu?
Nitakutafutia link nikupe
Nitakuja nikuchokoze huko huko [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha siku hizi sitaki stress za kubishana bila sababu nimejichimbia zangu kwenye ule uzi wa selfie