Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Ona eti ninavyojibiwa hivyo jamani [emoji24][emoji24]
Kama mimi nilivyojichimbia huku kwenye likesHahahaha siku hizi sitaki stress za kubishana bila sababu nimejichimbia zangu kwenye ule uzi wa selfie
Ila nini? Kuna mtu atadhani unamsema yeye?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaogopa uncle ataview[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]yaani acha tu nina uncle wangu aliwahi kuishi kwetu miaka hiyo kabla hajapata kazi but now ameshaoa ana maisha yake na familia yake,, kwahiyo nikipost hiyo nahisi kama atadhani namsema yeye kumbe wala maana tuliishi naye vizuri tu so siwezi kumsema vibaya..
Kumbe hata hayupo unaogopa bure tu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]yaani acha tu nina uncle wangu aliwahi kuishi kwetu miaka hiyo kabla hajapata kazi but now ameshaoa ana maisha yake na familia yake,, kwahiyo nikipost hiyo nahisi kama atadhani namsema yeye kumbe wala maana tuliishi naye vizuri tu so siwezi kumsema vibaya..
Nitakuja nikuchokoze huko huko [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] picha tena, tuma yako hapa na mimi nitatuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata unichokozeje sikasiriki ng'oo,, tena bora ujilete kule mwenyewe utume na picha yako maana haujawahi kutuma kabisa.. yaani wewe na Khantwe mmegoma kabisa kutuma picha zenu daah