Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani nafurahi vyenye siku hizi tumepunguza kuhangaika na mada za kitoto za MMU,, bora tujichimbie tu Chit Chat kwenye nyuzi kama hizi tuondoe stress.. karibu sana kule kwenye selfie mie ndiyo nimejenga na nyumba na nimefunga na ndoa kabisa kule maana ule uzi nalala nao naamka nao,, japo najitahidi pia kuja na huku na kule JF usiku wa manane na Makapuku Forum ili nicheke kidogo ila wewe kule haukanyagi kwenye selfie kabisa aisee..
Kama mimi nilivyojichimbia huku kwenye likes
 
Mimi kule selfie nakereka uzi wa picha mmeugeuza mnapiga stori, ngoja nikae hukuhuku likes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…