Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Sio leo
Wewe kwenye ule uzi usitokee comments zako nimeziona.Mmhh saa ngapi?? Hivi unajua leo nilikuwa safarini sijaingia JF tangu mchana ndiyo nimekuja kuingia usiku huu!! Sikuwa online leo mimi jamani
Na hii ni tabia nyingine inayonifanya nisiwe naingia kule yaani unaona mahali wanasifia picha ukienda kuitafuta unaambulia patupu nakasirika balaa [emoji85][emoji85][emoji85] yaani Jf ingekuwa inaruhusu kuignore nyuzi ule ungekuwa wa kwanza zingine ni Uzi wa kubet, uzi wa walevi, makapuku, na nyuzi zote za sportsHata sijui za nini best
Wewe kwenye ule uzi usitokee comments zako nimeziona.
Yes ilikuwa usiku mpendwa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]sawa ila wewe picha yako ulituma jioni siyo asubuhi
Na hii ni tabia nyingine inayonifanya nisiwe naingia kule yaani unaona mahali wanasifia picha ukienda kuitafuta unaambulia patupu nakasirika balaa [emoji85][emoji85][emoji85] yaani Jf ingekuwa inaruhusu kuignore nyuzi ule ungekuwa wa kwanza zingine ni Uzi wa kubet, uzi wa walevi, makapuku, na nyuzi zote za sports
Umeshapata team eeeh?Tupo
Yes ilikuwa usiku mpendwa
Binafsi mimi sipendi kuweka zikadumu familia yangu karibia 4 wapo jf ila sijui majina yao, wakijua nitakosa kujimwambafai😁😁Na hii ni tabia nyingine inayonifanya nisiwe naingia kule yaani unaona mahali wanasifia picha ukienda kuitafuta unaambulia patupu nakasirika balaa [emoji85][emoji85][emoji85] yaani Jf ingekuwa inaruhusu kuignore nyuzi ule ungekuwa wa kwanza zingine ni Uzi wa kubet, uzi wa walevi, makapuku, na nyuzi zote za sports
Yes ya Numbisa.Umeshapata team eeeh?
😁😁😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo suala la kufuta picha ni janga la taifa mama
Ndio maana siendagi kule, nije kuangalia picha zilizofutwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo suala la kufuta picha ni janga la taifa mama
Hakuna haja ya kuweka sasa kama ndio hivyo, [emoji3][emoji3][emoji3] samahani ni maoni binafsi sio kwamba nakupangiaBinafsi mimi sipendi kuweka zikadumu familia yangu karibia 4 wapo jf ila sijui majina yao, wakijua nitakosa kujimwambafai[emoji16][emoji16]
Naheshimu mawazo yako ila karma alinikalia kooni niweke ikanibidi😁Hakuna haja ya kuweka sasa kama ndio hivyo, [emoji3][emoji3][emoji3] samahani ni maoni binafsi sio kwamba nakupangia
Naheshimu mawazo yako ila karma alinikalia kooni niweke ikanibidi[emoji16]
Mnabebwa aisee, hii ilikua penatiYes ya Numbisa.
Binafsi mimi sipendi kuweka zikadumu familia yangu karibia 4 wapo jf ila sijui majina yao, wakijua nitakosa kujimwambafai[emoji16][emoji16]
Mshana nae akaniroga najikuta naweka ule uzi si wa kuchangia ukiwa mpenzi wa mada ile kuweka picha lazima.Ungemtumia PM kama uliweka kwaajili yake tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana siendagi kule, nije kuangalia picha zilizofutwa?
Naheshimu mawazo yako ila karma alinikalia kooni niweke ikanibidi[emoji16]