Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Eti ili asilie tu siriazi....
Hata akilia unakesha naye tu...
Kwema ndugu yangu?
Siriazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema brother
Eti ili asilie tu siriazi....
Hata akilia unakesha naye tu...
Kwema ndugu yangu?
Kumbe ni mpenzi wa movies za kihindi🙂Movies zote za Sharukhan za 2019 angalia.
Yaani nafurahi vyenye siku hizi tumepunguza kuhangaika na mada za kitoto za MMU,, bora tujichimbie tu Chit Chat kwenye nyuzi kama hizi tuondoe stress.. karibu sana kule kwenye selfie mie ndiyo nimejenga na nyumba na nimefunga na ndoa kabisa kule maana ule uzi nalala nao naamka nao,, japo najitahidi pia kuja na huku na kule JF usiku wa manane na Makapuku Forum ili nicheke kidogo ila wewe kule haukanyagi kwenye selfie kabisa aisee..
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
🙏🙏Mungu atupe afya na uzima
Salama?Salam kwenu
Na kwako piaAsubuhi njema