Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naam
IMG_20191127_092125.jpeg
 
Hahahaha ule uzi wa yule dada aliyekuwa anatafuta mpenzi akaweka vigezo buku kidogo??

Mie nimekuja kugundua Lizarazu anafanyaga makusudi tu kuongea shits kuhusu wanawake ila siyo kwamba eti anatuchukia!!
Ule Uzi naukumbuka vyema.
Kuna baadhi ya nyuzi nazo huwa tunachat kwa matani tu ila lazima tu tutakuwa tofauti na lizarazu...
Mfano mzuri Uzi wa siku zile tunamtetea yule dada.
Nyie Ni Marafiki ila lazima tu mchangamshe genge
 
Hahahaha ule uzi wa yule dada aliyekuwa anatafuta mpenzi akaweka vigezo buku kidogo??

Mie nimekuja kugundua Lizarazu anafanyaga makusudi tu kuongea shits kuhusu wanawake ila siyo kwamba eti anatuchukia!!
Kumbe una kumbukumbu dogo [emoji7].
Hivi ulikuwa hujamgundua tu!?
Mimi tangu nimgundue nilianza tu kufurahia vichekesho vyenu Maana wote nawajua.
Ila akirudi yule lazima na Wewe urudi mmu
 
Back
Top Bottom