Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

463509665_270867.jpeg
 
Kuikubali hali uliyonayo lazima ikujenge kimaisha.
Mwenyezi Mungu huyafanya yote kwa hekima zake
Hapa duniani bana. Wengine wanaweza kudhani kuwa ni udhaifu umepewa. Binti huyu kawa modo mashuhuri kwa kuyakubali hayo madoa kwenye ngozi yake. Anasema alipokuwa mdogo alikuwa anachekwa sana na hata kutengwa lakini alipokua aligundua kuwa madoa hayo yalikuwa ndiyo tiketi yake ya kutokea. Leo hii ni milionea kwa sababu hiyo...Kujiamini. Kujikubali...
View attachment 1273497
 
Khaa hivi mbona siku hizi mimi na Lizarazu ni marafiki mno[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]yule mwanzoni ndiyo nilikuwa namuona wa ajabu but in time nikaja gundua kumbe ni mtu poa sana na mara ya mwisho tulikuwa tunachat tunacheka kwenye ule uzi wa SweetieLee,, tulikuwa mimi, yeye, na cute b tulikuwa tuna have fun yaani vile nilikuwa nawajibu comments hadi hawakuamini..

Wakaanza kuniambia eti hawakujua kama naweza kuwa cool kiasi kile walikuwaga wanajua siku zote niko serious kwa sababu ya yale magazeti yangu ya kubishana na wanaume[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]nikawaambia kiuhalisia mimi ni mpole na ni mtu wa matani mno ila basi tu humu huwa najichetua,, halafu ule uzi ndiyo ukawa uzi wa mwisho Lizarazu kucomment baada ya hapo ndiyo sijui akapotelea wapi tena..
Jamani, usinikumbushe hebu, vile nimeumiss ule muunganiko, maana wamepotea wooote, umebaki peke yako na umekuwa mpole mpaka siyo poa!! Nammiss yule Karma wa one girl army, ulikuwa lit, unachachafya na kuogofya, Sijui ni Depal ama ni Saint anne kuna mmoja kakuambukiza u calm hukuwa hivyo akii'..!!
Mie ndo sieleweki kama mvua za Dar, Najiona naruka ruka tu kama popcorn za muhindi siku hizi! Maana mambo yangu yamekuwa mengi mpaka yanapandiana!!
 
Back
Top Bottom