Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Ungemtumia PM kama uliweka kwaajili yake tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Unataka tuanze kubishana Saint anneMnabebwa aisee, hii ilikua penati
Mshana nae akaniroga najikuta naweka ule uzi si wa kuchangia ukiwa mpenzi wa mada ile kuweka picha lazima.
[emoji23][emoji23][emoji23] haya mpendwa, nimekukalia kooni hata hulalamikiMshana nae akaniroga najikuta naweka ule uzi si wa kuchangia ukiwa mpenzi wa mada ile kuweka picha lazima.
Nimeamini ulonzi upoπππ[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] usicheze na kilinge eti
Nimelalamika mimi nilichokosea nilimlalamikia Mshana akanipa libwata niwe natuma picha tu kwenye uzi wakeπππ[emoji23][emoji23][emoji23] haya mpendwa, nimekukalia kooni hata hulalamiki
Usichojua ni kuwa Khatwe na Karma ni ndugu zakoπππBinafsi mimi sipendi kuweka zikadumu familia yangu karibia 4 wapo jf ila sijui majina yao, wakijua nitakosa kujimwambafaiππ
Hebu mwambie huyo mi namchora tu hapaUsichojua ni kuwa Khatwe na Karma ni ndugu zako[emoji3][emoji3][emoji3]
Acha kunitisha Jf nina ndugu mmoja tu ninaye mfahamu nashukuru haingii sana jf.Usichojua ni kuwa Khatwe na Karma ni ndugu zakoπππ
Nasema ukweli, utakua huangalii gameUnataka tuanze kubishana Saint anne
hahahahahahah, kwani aliyesema unao wanne ni nani?ππAcha kunitisha Jf nina ndugu mmoja tu ninaye mfahamu nashukuru haingii sana jf.
Wanasema ukimwamsha aliyelala utalala wewe.Wacha tumuache kama alivyo tuuHebu mwambie huyo mi namchora tu hapa
Bradha mimi sio mpenzi wa mpira huwa nadandia chat nami nionekane nimoNasema ukweli, utakua huangalii game
Wewe ni mpenzi wa nini sasa mpendwa?πππBradha mimi sio mpenzi wa mpira huwa nadandia chat nami nionekane nimo
Hao sijui majina yao wanayotumia.hahahahahahah, kwani aliyesema unao wanne ni nani?ππ
MoviesWewe ni mpenzi wa nini sasa mpendwa?πππ
Good, hebu naomba list ya movies nzuri ulizoona in case sijaziona nizifanyie mkakatiMovies
Ikitokea umerusha picha yako huko hata kama ni kidole au kope please nishtue [emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa uzalendo si unaanza na wewe,, anyway itakuwa picha zimeisha tu maana watu tumetupia hadi tumechoka tumeamua tupige story tu sasa..
Ya Khantwe uliona moja tu? Wapi huko? Nielekeze puliziPicha zangu zimeisha,, halafu zangu mbona umeona nyingi sana wakati mimi yako nimeona moja tu hebu nifanyie mpango basi hata pm tu mami..
Movies zote za Sharukhan za 2019 angalia.Good, hebu naomba list ya movies nzuri ulizoona in case sijaziona nizifanyie mkakati