Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Ajipange kwa kuandaa viungo kumstareheshe mwana mama mara nyingi zaidi ya atakavyotarajia
[emoji818][emoji818]Shambani mambo yanaendeleaView attachment 1274506
SafiiUtalii wa ndani,
Mohamed Hussein "Tshabalala" ndani ya Saadani national park View attachment 1274516
Mh!Mwimbaji wa taarabu Ishe Mashauzi anatafuta mume, anasema yeye ni mzuri wa "kila kitu", wanaume wasiogope maana hana masharti mengi, anahitaji mtu anayeweza kumuhudumia na kumpa upendo wa dhati, sura yako wala haimuhusu.
Changamkieni fursa hiyoView attachment 1274532
Likes zinaendelea