Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Huyu mwana mama alishasemaga starehe yake ni mapenzi aatakae muoa basi ajipangeMwimbaji wa taarabu Ishe Mashauzi anatafuta mume, anasema yeye ni mzuri wa "kila kitu", wanaume wasiogope maana hana masharti mengi, anahitaji mtu anayeweza kumuhudumia na kumpa upendo wa dhati, sura yako wala haimuhusu.
Changamkieni fursa hiyoView attachment 1274532
Huyu mwana mama alishasemaga starehe yake ni mapenzi aatakae muoa basi ajipange
Ajipange kwa kuandaa viungo kumstareheshe mwana mama mara nyingi zaidi ya atakavyotarajiaAjipange vipi kwa mfano?
badala ya kumtafuta kwa njia nyengine za mawasiliano cha ajabu unakuja kumuulizia humu.ningendako bae 😍😍 nani aficha wewe jamaniiii