Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1562255234638.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haueleweki kama serikali za mitaa za mwaka huu

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]awww jamani nimewamiss pia mno,, hata hivyo upole ndiyo uhalisia wangu dada.. halafu hauwezi amini ninyi ndiyo mlikuwa mnanipa nguvu na jeuri ya kuendelea kubishana hamuoni baada ya ninyi kuanza kupotea na mimi nimekaa kimya,, you guys were making me alive in here huwa nawaita crew langu la JF au chama langu la JF yaani nikiingia JF nikiwakosa ninyi huwa napaona pamepoa hapana maana kabisa yaani mpo wengi nikiwataja hapa siwezi kuwamaliza ila nawapenda mno mimi..
daah'... Umeisema kwa uchungu mpaka imepenya moyoni, uko sahihi sana mdogo wangu! Kuna watu wasipokuwepo unahisi kabisa kuna kitu kinamiss, MMU hapako lit tena sababu kuna souls nyingi za kuchangamsha jukwaa zimejichimbia majukwaa mengine, wengine majukumu yanazidi muda,
Ila just know that uwepo wako na mchango wako umegusa wengi, you're an inspiration girl..!!
Nakupenda pia..!!
 
Back
Top Bottom