Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2222485_IMG-20191126-WA0026.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haueleweki kama serikali za mitaa za mwaka huu

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]awww jamani nimewamiss pia mno,, hata hivyo upole ndiyo uhalisia wangu dada.. halafu hauwezi amini ninyi ndiyo mlikuwa mnanipa nguvu na jeuri ya kuendelea kubishana hamuoni baada ya ninyi kuanza kupotea na mimi nimekaa kimya,, you guys were making me alive in here huwa nawaita crew langu la JF au chama langu la JF yaani nikiingia JF nikiwakosa ninyi huwa napaona pamepoa hapana maana kabisa yaani mpo wengi nikiwataja hapa siwezi kuwamaliza ila nawapenda mno mimi..
Jamani, usinikumbushe hebu, vile nimeumiss ule muunganiko, maana wamepotea wooote, umebaki peke yako na umekuwa mpole mpaka siyo poa!! Nammiss yule Karma wa one girl army, ulikuwa lit, unachachafya na kuogofya, Sijui ni Depal ama ni Saint anne kuna mmoja kakuambukiza u calm hukuwa hivyo akii'..!!
Mie ndo sieleweki kama mvua za Dar, Najiona naruka ruka tu kama popcorn za muhindi siku hizi! Maana mambo yangu yamekuwa mengi mpaka yanapandiana!!
 
Back
Top Bottom