Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabaharia watasema unawatisha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tangu mwenzake alipochukua uamuzi wa kuunga mkono juhudi, imani ya wana Cdm imepungua hasa kwa wale waliotoka chama kongwe.
Nadhani aachane na siasa afanye mambo mengine
Lengo lake lilikuwa uwaziri mkuu kama Eddo angeshinda. Bahati mbaya haikuwa. Wameikamua sana nchi hawa ubaya tu hawaridhiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…