ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Huyu dada anapigana vita ambayo hatashinda,abadili mbinu tu.![]()
Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?
Habari, Hili jambo limenitesa miaka nenda miaka rudi, natamani lifike mwisho. Wakati naingia kwenye mahusiano na huyu ambae ni mume wangu sasa, alikuja binti mmoja ambaye alikuwa ndo kamaliza form 4 (mdogo wake) akaanza kusoma cozi kwenye chuo flani. Nikapata ujauzito so ikabidi nilete binti...www.jamiiforums.com
Amkeniiii amkeniii
Amkeniiii[emoji351][emoji351][emoji351]
Numbisa najua taarifa unazoView attachment 1276047
Bora hao wazungu... sasa hata wenzetu tunabeba!!