Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (37).jpg
 
 
Ama kweli ndoa ni uvumilivu ila huyu bibie ana matatizo kama kweli hii story ni ya kweli
 
Tatizo lake anafatilia au anataka kujua huyu wifi yake amefanya kazi gani hapo nyumbani hali ya kuwa yeye ndio muhusika huyo ni mpita njia tu,why asifanye yeye na huyo dada wa kazi kesi nyingine ngumu kutoa ushauri.
Hapana, huyu wifi ni zaidi ya mpita njia.
Kama anakaa hapo kwa mda mrefu sio sahihi kutokujisgughulisha japokua inawezekana mke anakosea namna ya kumwelewesha ....
 
Hapana, huyu wifi ni zaidi ya mpita njia.
Kama anakaa hapo kwa mda mrefu sio sahihi kutokujisgughulisha japokua inawezekana mke anakosea namna ya kumwelewesha ....
Kama hajui majukumu yake ni wakumuacha kukaa kimya ni jibu afanye mwenyewe ili ndoa yake iwe na amani ni aibu kuachika kwa sababu ndugu wa mume wamekataa kusaidia kazi.
 
Back
Top Bottom