Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1574951932233.png
 
Acha hizo, nilitee basi kesho
tatizo pacha wako jana nimemuona akiwa amekunja uso wake.
unajua jana ulipokea zawadi nyingi sana kutoka kwa wanaume walioalikwa kwenye tafrija yako jambo lililopelekea pacha wako apandwe na mzuka wa wivu.
kitatokezea kitu gani kesho nitakapokuletea zawadi, ndio swali ninalojiuliza kwa sasa
 
Sasa pacha aone wivu wa nini mimi kuletewa zawadi? We unaweza kumuonea wivu dada yako?
 
Back
Top Bottom