Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
[emoji23][emoji23][emoji23]unataka tuje kuzodolewa wwni mshamba fulani kutoka nyanda za juu na sidhani kama ameshawahi kula samaki wa baharini.
ila itapendeza zaidi kama utamfundisha kupika.
huyo mwanamke ni mshamba aliyevuka mipaka.
ngoje aje humu ndani upate kuthibitisha