myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukaribie kula ssSafii sana
Nakuja..Ukaribie kula ss
Mm hapa
Masapta ndio manini tena hayo😀😀😀Daaaaah 😂😂😂😂😂😂😂 yani hizo njia nyingine nazo hapatikani...
Afu me tayari nishaanza kusomea hotel mgt so usijali Christmas nitakudondoshea masapta sapta ya kila dizaini
Halafu uache ile tabia yako ya kukesha vilabuni kama makopo ya wanzuki
mlaji anakua salama kweli akibugia huu mzigo?
Salama kabisa[emoji23]mlaji anakua salama kweli akibugia huu mzigo?
😂😂 huo mvurugo ni hatariSalama kabisa[emoji23]
Wenzetu wala majani ndo zao hizi mm nikila hvyo naendesha mapaka utumbo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mvurugo ni hatari