Raida911
Senior Member
- Aug 6, 2018
- 156
- 49
Peleka kwenye Forum ya Matangazo Madogo Madogo kamanda.
Pamoja
Peleka kwenye Forum ya Matangazo Madogo Madogo kamanda.
11:4411:17
😀😀 Nov hii ina tabia mbaya etiHii Nov imekupoteza hadi wewe ujue😀😀
christmass inakaribia.😀😀 Nov hii ina tabia mbaya eti
Daaaaah 😂😂😂😂😂😂😂 yani hizo njia nyingine nazo hapatikani...badala ya kumtafuta kwa njia nyengine za mawasiliano cha ajabu unakuja kumuulizia humu.
depal vipiiiiiii au stress za valencia zimeshaanza?
nina wasiwasi ningendako ameshatafuta mwengine.
utabaki kuwa mabeki tatu,
mwanamke hata kupika biryan hujui
kazi yako kukesha vibanda vya betting kama tiketi
Babu Andjul yupo likizochristmass inakaribia.
umesha agiza maparachichi?
maana yake tafadhali japo kwa pichamakopo ya wanzuki
maana yake tafadhali japo kwa picha
kwa humo ilimohifadhiwa huenda ni pombe ya kienyeji
Kwani wanzuki ni ya kisasa?kwa humo ilimohifadhiwa huenda ni pombe ya kienyeji
kazoea urojo na pombe ya mnaziKwani wanzuki ni ya kisasa?