Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwalimu nnapata tabu
wala hupati tabu.
ngoje nimwite mwanafunzi wako na mapemaaa ili mupate kufahamiana zaidi.
Hawachi mpendwa nimekutafutia mwalimu wa mapishi na gharama za huduma nimeshalipa.

nataka kukuona ukipunguza tabia ya kupigana ovyo kama toto tundu.
nimechoka kukupeleka hospitali ya meno
 
Screenshot_2019-05-08-YEHUDA-DeVIR-OFFICIAL-on-Instagram-%E2%80%9CI-upgraded-myself-Thank-you-...jpg
 
wala hupati tabu.
ngoje nimwite mwanafunzi wako na mapemaaa ili mupate kufahamiana zaidi.
Hawachi mpendwa nimekutafutia mwalimu wa mapishi na gharama za huduma nimeshalipa.

nataka kukuona ukipunguza tabia ya kupigana ovyo kama toto tundu.
nimechoka kukupeleka hospitali ya meno
Kumbe ni bondia[emoji23] mwalimu ntapigwa nichakae
 
Amkeniiiiii,amkeni amkeniiiiiiii



Nawasalimia tu
 
wala hupati tabu.
ngoje nimwite mwanafunzi wako na mapemaaa ili mupate kufahamiana zaidi.
Hawachi mpendwa nimekutafutia mwalimu wa mapishi na gharama za huduma nimeshalipa.

nataka kukuona ukipunguza tabia ya kupigana ovyo kama toto tundu.
nimechoka kukupeleka hospitali ya meno
Sio kwamba sizioni comments zako niko bizze kwenye uzi mwengine nitakujibu baadae.

#urojo ni janga la taifa
 
Amkeniiiiii,amkeni amkeniiiiiiii



Nawasalimia tu
tuamke twende wapi saa 10 hii ya jioni.
pungiza kula sembeee
 
Amkeniiiiii,amkeni amkeniiiiiiii



Nawasalimia tu

Unamtangaza mwenzako
 
Yaan wewe mkorea wewe[emoji23][emoji23]
kuna thread fulani aliandika yule binti na akadai ya kwamba yupo kwenye mahusiano na professor.
 
nilipokwenda shamba fulani inaitwa -------------------------
niliiba maembe ya watu na ndio siku yangu ya mwanzo kula matunda kimasihara

 
Back
Top Bottom