Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amkeniiiiii,amkeni amkeniiiiiiii



Nawasalimia tu
Waamke kumekucha sio
 
kuna thread fulani aliandika yule binti na akadai ya kwamba yupo kwenye mahusiano na professor.
Prof kampa na degree ya nyongeza.

Sema kuna sehemu ya hii stor ya mtoa mada haiko sawa[emoji848][emoji848]
 
wala hupati tabu.
ngoje nimwite mwanafunzi wako na mapemaaa ili mupate kufahamiana zaidi.
Hawachi mpendwa nimekutafutia mwalimu wa mapishi na gharama za huduma nimeshalipa.

nataka kukuona ukipunguza tabia ya kupigana ovyo kama toto tundu.
nimechoka kukupeleka hospitali ya meno
Uwongo wala urojo upo kwenye damu
 
Back
Top Bottom