moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguzeni ukali wa maneno mkiwa wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mchezo niliangalia kitambo sana
Kama ilivyo furaha na joy.Mmhh Furaha?? Mbona kina Furaha wengi ni wa kike??
Labda angesema bongo Amani ni jina la kiume ila Peace ni jina la kike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sina maneno makali[emoji85]
Kama ilivyo furaha na joy.
Furaha wengi wa kiume,Joy wa kike