Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu humu najua anaumia Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi huyu Ni Nani kwanza.
Naona tangu juzi anatrend tu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Misambwax nimeshaacha kabisa bageshi. Hizi si zinaonyesha sura yake jamani? Au miye sioni vizuri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kana pua jamani kama ya mbosso,uwiii tunaombea kasihamie bongo katatumalizia hewa,awe anakuja mara moja moja maana mbosso tu anaitubakiziaga kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Last borns mpo?
View attachment 1276914
Aiseee.Huyo sijui nimdefine vipi ila ni dada mmoja ambaye amepata umaarufu sababu ya tako lake,, sijui anajishungulisha na nini maana simfuatilii ila mie huwa namuona kama kahaba fulani tu hivi ambaye anawachanganya mabaharia vibaya hovyo..
Hawa maskei kwini ni makahaba wa levo ya juu japo hawajiuzi mabarabarani. Hawa nasikia wana maajenti wao kabisa. Wewe uko Dubai huko unamlipa ajenti wake slei kwini anaruka na pipa kukufuata huko. Ndiyo maana utawakuta kila siku wanapiga picha wakiwa kwenye ndege au kwenye mahoteli makubwa makubwa. Ni makahaba tu !!!Huyo sijui nimdefine vipi ila ni dada mmoja ambaye amepata umaarufu sababu ya tako lake,, sijui anajishungulisha na nini maana simfuatilii ila mie huwa namuona kama kahaba fulani tu hivi ambaye anawachanganya mabaharia vibaya hovyo..
Badala uniunge mkono unacheka. Kha !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tupaja twangu kama vipapatio vya kuku..nianze tu!???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Badala uniunge mkono unacheka. Kha !!!
Si ajabu una mzigo kuzidi hata wa Sanchi. Wanyakyusa mnasifika sana kwa kufungasha hayo makitu [emoji16][emoji16][emoji16]Tangu lini nikakuunga mkono mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na tupaja twangu kama vipapatio vya kuku..nianze tu!???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku kwema bro. Vipi utakuja Mbagala yetu kwenye Noeli au utabakia chimboni?