Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbingu wataisikia kwenye tivii tu [emoji16][emoji16][emoji16]

View attachment 1276895
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena anachanganya kabisa..haelewi inaanzia ipi,thes,efe,kol yaani Hadi kupata jasho kimemtoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo sijui nimdefine vipi ila ni dada mmoja ambaye amepata umaarufu sababu ya tako lake,, sijui anajishungulisha na nini maana simfuatilii ila mie huwa namuona kama kahaba fulani tu hivi ambaye anawachanganya mabaharia vibaya hovyo..
Hivi huyu Ni Nani kwanza.
Naona tangu juzi anatrend tu hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kana pua jamani kama ya mbosso,uwiii tunaombea kasihamie bongo katatumalizia hewa,awe anakuja mara moja moja maana mbosso tu anaitubakiziaga kidogo



Si kwa kukumisi huko Binti Mpole
[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Huyo sijui nimdefine vipi ila ni dada mmoja ambaye amepata umaarufu sababu ya tako lake,, sijui anajishungulisha na nini maana simfuatilii ila mie huwa namuona kama kahaba fulani tu hivi ambaye anawachanganya mabaharia vibaya hovyo..
Hawa maskei kwini ni makahaba wa levo ya juu japo hawajiuzi mabarabarani. Hawa nasikia wana maajenti wao kabisa. Wewe uko Dubai huko unamlipa ajenti wake slei kwini anaruka na pipa kukufuata huko. Ndiyo maana utawakuta kila siku wanapiga picha wakiwa kwenye ndege au kwenye mahoteli makubwa makubwa. Ni makahaba tu !!!
 
Tangu lini nikakuunga mkono mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na tupaja twangu kama vipapatio vya kuku..nianze tu!???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ajabu una mzigo kuzidi hata wa Sanchi. Wanyakyusa mnasifika sana kwa kufungasha hayo makitu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…