Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

nimekutana na mwanaume fulani humu ndani mwaka 2017 tukafanya mapenzi
nimekutana tena na mwanaume fulani humu ndani mwaka 2018 tukafanya mapenzi
nimekutana tena na mwanaume fulani humu ndani mwaka 2019 tukafanya mapenzi

vile vile kwa mwanamme nimeshakutana na wanawake 6 humu JF na tumefanya mapenzi

khaaaah!
ndio nyinyi peke yenu muliopewa vikojoleo?
 
We kwani kikojoleo chako kina matatizo gani?
Fanya basi na wewe uongeze idadi
 
Bro, ukiquote mtu uwe unasema bana.
 
We kwani kikojoleo chako kina matatizo gani?
Fanya basi na wewe uongeze idadi
mungu ametuumba wanadamu na heshima ndani yake ukilinganisha na viumbe wengineo.
fanya uchafu wako basi ifiche aibu yako mbele ya hadhira.
mtu hata akifanya mapenzi na watu tofauti mara 10 wala hanishughulishi kwa sababu najua ni maisha yake na sina haki ya kumpangia.

kama nilikuwa nakuheshimu basi nitaanza kukudharau kama utajitangaza hadharani
 
Sare ya bao 1-1 dhidi ya Napoli kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyopigwa Anfield Jumatano iliyopita imewafanya Liverpool kujiweka kwenye hali mbaya na sasa kulazimika kuitolea macho mechi yao ya mwisho dhidi ya RB Salzburg ili kufuzu hatua ya mtoano.
 
Ushindi dhidi ya Napoli ungewafanya Liverpool kufuzu hatua hiyo ya mtoano, hivyo wasingekuwa na presha katika mchezo wao wa mwisho, lakini sasa watakuwa na shughuli ya kutoa macho kusaka ushindi kwenye mechi 14 itakazocheza ndani ya muda usizofika miezi miwili. Hiyo ina maan kwamba kwenye mwezi wa Desemba,
 
Kwa kuanzia sasa hadi Januari 2, Liverpool itakuwa kwenye mchakamchaka mkali katika kuhakikisha inajiweka salama kwenye michuano yote ili kubeba mataji yote, hasa la Ligi Kuu England ambalo wamesubiri kwa miaka 30.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…