Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1575105060565.jpeg
 
mambo 11 ambayo nimeacha kuyatenda
  1. kusikiliza redio : sijui nina miaka mingapi sijasikiliza redio kwa kutaka
  2. kuangalia vipindi vya televisheni za kitanzania
  3. kusoma magazeti
  4. kufuatilia mpira wa Tanzania na afrika kwa ujumla kama wafanyavyo wengineo
  5. kufuatilia muziki wa kitanzania na afrika kwa ujumla kama wafanyavyo wengineo
  6. kuangalia filamu za kitanzania na afrika kwa ujumla
  7. kufuatilia muziki wa marekani, nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa chris brown pamoja na eminem.
  8. kuperuzi mitandao ya soka kama goal.com n.k
  9. kuperuzi mitandao ya habari zaidi ya JF, kwa mfano bbc, aljazeera.
  10. kufuatilia mara kwa mara mechi za timu nyengine nisizozishabikia mfano liverpool, arsenal............ zamani nilikuwa na uwezo wa kuangalia mechi mfululizo kwa siku moja.
  11. kula sembeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na umasikini wangu
vipi niendeleeeee next page?
hapo nimegusa media kwa kiasi kikubwa
Endeleaaaa,umeishia kwenye sembeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mambo 11 ambayo nimeacha kuyatenda
  1. kusikiliza redio : sijui nina miaka mingapi sijasikiliza redio kwa kutaka
  2. kuangalia vipindi vya televisheni za kitanzania
  3. kusoma magazeti
  4. kufuatilia mpira wa Tanzania na afrika kwa ujumla kama wafanyavyo wengineo
  5. kufuatilia muziki wa kitanzania na afrika kwa ujumla kama wafanyavyo wengineo
  6. kuangalia filamu za kitanzania na afrika kwa ujumla
  7. kufuatilia muziki wa marekani, nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa chris brown pamoja na eminem.
  8. kuperuzi mitandao ya soka kama goal.com n.k
  9. kuperuzi mitandao ya habari zaidi ya JF, kwa mfano bbc, aljazeera.
  10. kufuatilia mara kwa mara mechi za timu nyengine nisizozishabikia mfano liverpool, arsenal............ zamani nilikuwa na uwezo wa kuangalia mechi mfululizo kwa siku moja.
  11. kula sembeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na umasikini wangu
vipi niendeleeeee next page?
hapo nimegusa media kwa kiasi kikubwa
FB_IMG_1573845952496.jpeg
 
Back
Top Bottom