Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1575104950594.jpeg
 
I incorrectly reported Emery led training - apologies. He arrived to do to but was sacked pre-session. Full details below including USA trip post-Southampton that sealed his fate prior to last night’s game, what happened this morning, Ljungberg’s staff, where Arsenal go next

1575106284342.png
 
Tulia kijana wacha tupate vitu unafikiri Joseon huku
mungu ametuumba wanadamu na heshima ndani yake ukilinganisha na viumbe wengineo.
fanya uchafu wako basi ifiche aibu yako mbele ya hadhira.
mtu hata akifanya mapenzi na watu tofauti mara 10 wala hanishughulishi kwa sababu najua ni maisha yake na sina haki ya kumpangia.

kama nilikuwa nakuheshimu basi nitaanza kukudharau kama utajitangaza hadharani
 
mkorea kabla hajafunga ndoa anawaza gharama za maisha pindi watakapokuwa wawili.
mswahili kabla hajafunga ndoa anawaza bikira ya mwenzake awe ni meee au keeee
Sunbae nina ombi, naomba uniwekee kule drama inaitwa I miss you kama unayo...Amecheza Yoon Eun Hye puliiiz[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom