Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema ndugu zangu?
yaliojiri tokea kuondoka kwako
  1. myoyambendi ameoa mwanamke wa kitanga, siku hizi anaingia humu ndani kwa shift....................myoyambendi tafadhali usiandike tena comment za poleee kule kwa msukuma................ nataka unisifu mimi tu kuwa ni mrembooooo........................ myoyambendi: ahsante wife wangu wa kitanga kwa kujaaliwa kiuno kama trektaaa
  2. Kgothalo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa hapo jana, nafasi yake ya DJ ilirithiwa na The Happiness kwa muda hapo jana.
  3. SHIMBA YA BUYENZE eeeeeee amepoteza mapenzi dhidi ya wanawake wanene
  4. Numbisa amepigwa ban mara tano ndani ya wiki mbili
  5. moudgulf amkimbia Saint anne baada ya kupokea dhoruba nzito
  6. Cole Williams ahamia team ronaldoooo
  7. Davet aonekana maeneo ya msumbiji akiuza sungura
  8. Hawachi apigwa tena na mpinzani wake, mara hii ang'olewa meno ya mbeleee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeee



#Urojo ni janga la taifa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah aiseee,asante kwa yaliyojiri ndugu mwenyekiti..ubarikiwe sana ni vyema nimepata pa kuanzia...ila Bradha sijaona taarifa yake hapo juu[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…