Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Tanga bwana,wewe pasikie tu hivyo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]ningendako habari ya tanga[emoji23][emoji23]View attachment 1277222
Tanga bwana,wewe pasikie tu hivyo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]ningendako habari ya tanga[emoji23][emoji23]View attachment 1277222
ndiye best man wa myoyambendiHahahah aiseee,asante kwa yaliyojiri ndugu mwenyekiti..ubarikiwe sana ni vyema nimepata pa kuanzia...ila Bradha sijaona taarifa yake hapo juu[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaliojiri tokea kuondoka kwako
- myoyambendi ameoa mwanamke wa kitanga, siku hizi anaingia humu ndani kwa shift....................myoyambendi tafadhali usiandike tena comment za poleee kule kwa msukuma................ nataka unisifu mimi tu kuwa ni mrembooooo........................ myoyambendi: ahsante wife wangu wa kitanga kwa kujaaliwa kiuno kama trektaaa
- Kgothalo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa hapo jana, nafasi yake ya DJ ilirithiwa na The Happiness kwa muda hapo jana.
- SHIMBA YA BUYENZE eeeeeee amepoteza mapenzi dhidi ya wanawake wanene
- Numbisa amepigwa ban mara tano ndani ya wiki mbili
- moudgulf amkimbia Saint anne baada ya kupokea dhoruba nzito
- Cole Williams ahamia team ronaldoooo
- Davet aonekana maeneo ya msumbiji akiuza sungura
- Hawachi apigwa tena na mpinzani wake, mara hii ang'olewa meno ya mbeleee
Hahaha binti mpole,hizi salamu zitakufikia tu,kuwa na subiraMarahabaaa
hiyo siku tutalipiza kisasi dhidi ya moudgulf na Saint anneKwenye kundi hilo, Liverpool wana +3 ya tofauti yao ya mabao ya kufunga na kufungwa, wakati Salzburg wao wana +5 kwenye tofauti ya mabao yao ya kufunga na kufungwa,
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yupo vizurindiye best man wa myoyambendi
Arsenal imeshindwa kupata ushindi kwenye mechi saba mfululizo na kipigo cha mabao 2-1 nyumbani uwanjani Emirates kutoka kwa Eintracht Frankfurt kwenye Europa League Alhamisi ndicho kilichofikisha mwisho ajira ya Mhispaniola huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watekaji sio watu poa[emoji23][emoji23]Hahah aisee,kuwa nmerudishiwa nywila
Salama kabsa carba,habar za uzima?za masiku kadhaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha binti mpole,hizi salamu zitakufikia tu,kuwa na subira
Hata mie naonaTanga bwana,wewe pasikie tu hivyo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] zile hashtag zimefanya kazi yakeWatekaji sio watu poa[emoji23][emoji23]
Hongera kwa kupewa uhuru wako.
Huku kwema kabisa tunashukuru Mungu
Sijui huko utokako.
Bro niajeGame on
Newcastle vs Manchester city
Njema sana Cole, karibu tena.!TH habari yako ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah huyo mzee walichomfanyia sio poaHata mie naona
#nimwendowakupewatu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1277233
Ninge, TA kwemaa.?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yupo vizuri