moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
yaliojiri tokea kuondoka kwako
- myoyambendi ameoa mwanamke wa kitanga, siku hizi anaingia humu ndani kwa shift....................myoyambendi tafadhali usiandike tena comment za poleee kule kwa msukuma................ nataka unisifu mimi tu kuwa ni mrembooooo........................ myoyambendi: ahsante wife wangu wa kitanga kwa kujaaliwa kiuno kama trektaaa
- Kgothalo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa hapo jana, nafasi yake ya DJ ilirithiwa na The Happiness kwa muda hapo jana.
- SHIMBA YA BUYENZE eeeeeee amepoteza mapenzi dhidi ya wanawake wanene
- Numbisa amepigwa ban mara tano ndani ya wiki mbili
- moudgulf amkimbia Saint anne baada ya kupokea dhoruba nzito
- Cole Williams ahamia team ronaldoooo
- Davet aonekana maeneo ya msumbiji akiuza sungura
- Hawachi apigwa tena na mpinzani wake, mara hii ang'olewa meno ya mbeleee
ningendako habari ya tanga[emoji23][emoji23]View attachment 1277222
Video ya huyu binti imefungiwa?kuifungia tu haitoshi,ingetafutwa na adhabu nyingine kali iwe onyo kwao...Kanyaga Kanyaga,View attachment 1277320
Salama bro,habari za masiku?Kwema, habari yako bro
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1277246
Najiuliza hizo nywele ana lala vipi kasimama mzigo kilo 100.Kanyaga Kanyaga,View attachment 1277320
Soma comments za juu utaonaSijakuelewa, Simba na Liverpool zina uhusiano gani?
Unamaanisha??hakuna kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1277267
MpendwaNajiuliza hizo nywele ana lala vipi kasimama mzigo kilo 100.
Aliyekuficha mwambie namsalimia..Mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]