Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mods wajinga sana.

Kuna mtu aliweka picha jf selfika kule akafuta ndani ya dk sifuri mods wakamsaliti,i felt her pain[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We acha tu kuchanganyikiwa kwake.....hata mm nishawahi kuikuta moja coverpage nikakukumbuka.[emoji23][emoji23]
 
Got locs[emoji7][emoji7]
86cce7336688a4fbe2b3829872346ae3.jpeg
 
Mzima mama?
Kwa kweli huku mwakaleli Mungu anatusaidia kupata hitaji letu...
Sema tu vya mjini navikosa, yaani navikosa mno. Vile vinguo vya watoto mabinti wa mjini wanavyo vivaaga huku hamna... Mitikisiko hamna kabisa yaani
Unamaanisha??hakuna kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
tapatalk_1573746879358.jpeg
 
Mzima mama?
Kwa kweli huku mwakaleli Mungu anatusaidia kupata hitaji letu...
Sema tu vya mjini navikosa, yaani navikosa mno. Vile vinguo vya watoto mabinti wa mjini wanavyo vivaaga huku hamna... Mitikisiko hamna kabisa yaani
Mzima kabisa anko, hayo ya mjini hayaishi anko wangu muhimu kuzitafuta pesa halafu uje kuzitumia na hawa wa mjini, huku ukisafisha macho[emoji125][emoji125][emoji41]
 
Back
Top Bottom