Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20191130_165435.jpeg
 
Mzima mama?
Kwa kweli huku mwakaleli Mungu anatusaidia kupata hitaji letu...
Sema tu vya mjini navikosa, yaani navikosa mno. Vile vinguo vya watoto mabinti wa mjini wanavyo vivaaga huku hamna... Mitikisiko hamna kabisa yaani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzima kabisa anko, hayo ya mjini hayaishi anko wangu muhimu kuzitafuta pesa halafu uje kuzitumia na hawa wa mjini, huku ukisafisha macho[emoji125][emoji125][emoji41]

Kwa Mfano akitaka kutumia na wewe Wakishua si inabidi awe na mahela mengi sana mauzo ya parachichi zake sidhani kama yanakutosha [emoji23][emoji1549]‍♂️
 
Mzima kabisa anko, hayo ya mjini hayaishi anko wangu muhimu kuzitafuta pesa halafu uje kuzitumia na hawa wa mjini, huku ukisafisha macho[emoji125][emoji125][emoji41]
Ankoo ushauri wako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mwaka jana wajinga fulani walinitupa sijui ndo Sinza, mtaji wangu wote wa maparachichi uliisha kwa siku moja.
Ahsante madalali wa mahakama ya ndizi Mabibo wakaniokoa kwa tiketi ya Rungwe express na chupa mbili za maji ya uhai.
Nimeshuka Tukuyu hoi na maroba yangu ya kubebea maparachichi...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaniharibia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ankoo ushauri wako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mwaka jana wajinga fulani walinitupa sijui ndo Sinza, mtaji wangu wote wa maparachichi uliisha kwa siku moja.
Ahsante madalali wa mahakama ya ndizi Mabibo wakaniokoa kwa tiketi ya Rungwe express na chupa mbili za maji ya uhai.
Nimeshuka Tukuyu hoi na maroba yangu ya kubebea maparachichi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko bhana haha
 
Ankoo ushauri wako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mwaka jana wajinga fulani walinitupa sijui ndo Sinza, mtaji wangu wote wa maparachichi uliisha kwa siku moja.
Ahsante madalali wa mahakama ya ndizi Mabibo wakaniokoa kwa tiketi ya Rungwe express na chupa mbili za maji ya uhai.
Nimeshuka Tukuyu hoi na maroba yangu ya kubebea maparachichi...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ankoo bhana...

Heshima yako ankoo,kwema nyumbani?
 
Back
Top Bottom